-
Isaya 6:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ndipo akasema, “Nenda, uwaambie hivi watu hawa:
-
-
Matendo 28:26, 27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 ikisema, ‘Nenda kwa watu hawa uwaambie: “Kwa kweli mtasikia lakini hamtaelewa kamwe, na kwa kweli mtatazama, lakini hamtaona kamwe.+ 27 Kwa maana mioyo ya watu hawa imekuwa migumu, nao wamesikia kwa masikio yao bila kuitikia, nao wamefunga macho yao, ili wasione kamwe kwa macho yao na kusikia kwa masikio yao na kuelewa kwa mioyo yao, nao wageuke nami niwaponye.”’+
-