-
Mathayo 13:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa maana kweli nawaambia nyinyi, Manabii wengi na watu waadilifu walitamani kuyaona mambo mnayoyaona na hawakuyaona, na kuyasikia mambo mnayoyasikia na hawakuyasikia.
-