-
Mathayo 13:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Kwa habari ya yule aliyepandwa katikati ya miiba, huyo ndiye anayelisikia neno, lakini hangaiko la mfumo huu wa mambo na nguvu za udanganyifu wa mali hulisonga neno, naye huwa asiyezaa matunda.
-