-
Mathayo 13:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Ndipo akawaambia: “Ikiwa ni hivyo, kila mwalimu wa watu wote, anapofundishwa kuhusu Ufalme wa mbinguni ni kama bwana wa nyumba, ambaye hutoa katika hazina yake vitu vipya na pia vya zamani.”
-
-
Mathayo 13:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Ndipo yeye akawaambia: “Ikiwa ni hivyo, kila mfunzi wa watu wote, afundishwapo kuhusiana na ufalme wa mbingu, ni kama mtu, mwenye nyumba, ambaye hutoa nje ya akiba ya hazina yake vitu vipya na vya zamani.”
-