-
Mathayo 13:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Ndipo yeye akawaambia: “Ikiwa ni hivyo, kila mfunzi wa watu wote, afundishwapo kuhusiana na ufalme wa mbingu, ni kama mtu, mwenye nyumba, ambaye hutoa nje ya akiba ya hazina yake vitu vipya na vya zamani.”
-