-
Mathayo 15:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Ndipo Yesu akamwambia: “Ewe mwanamke, imani yako ni kubwa; na itendeke kama unavyotaka.” Na kuanzia saa hiyo binti yake akapona.
-
-
Mathayo 15:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Ndipo Yesu akasema kwa kumjibu: “Ewe mwanamke, ni kubwa imani yako; acha itukie kwako kama utakavyo.” Na binti yake akaponywa tangu saa hiyo na kuendelea.
-