-
Mathayo 15:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Ndipo Yesu akasema kwa kumjibu: “Ewe mwanamke, ni kubwa imani yako; acha itukie kwako kama utakavyo.” Na binti yake akaponywa tangu saa hiyo na kuendelea.
-