-
Mathayo 16:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Sasa alipokuwa amekuja kuingia katika sehemu za Kaisaria Filipi, Yesu alianza kuuliza wanafunzi wake: “Watu wanasema Mwana wa binadamu ni nani?”
-