-
Mathayo 17:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Siku sita baadaye Yesu alichukua pamoja naye Petro na Yakobo na Yohana ndugu yake akawaleta juu katika mlima ulioinuka sana wakiwa peke yao wenyewe.
-