-
Mathayo 18:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Basi, ikiwa mkono wako au mguu wako unakufanya ukwazike, ukatilie mbali na kuutupilia mbali nawe; ni vizuri zaidi kwako kuingia katika uhai ukiwa umeharibika viungo au ukiwa kilema kuliko kutupwa ndani ya moto udumuo milele ukiwa na mikono miwili au miguu miwili.
-