-
Mathayo 19:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yesu akamwambia: “Ikiwa wataka kuwa mkamilifu, nenda ukauze mali zako na uwape maskini nawe utakuwa na hazina mbinguni, na uje uwe mfuasi wangu.”
-