-
Mathayo 21:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa habari ya ule umati, wale waliokuwa wakienda mbele yake na wale waliokuwa wakifuata wakafuliza kupaaza kilio: “Okoa Mwana wa Daudi, twasihi! Mbarikiwa ni yeye ajaye katika jina la Yehova! Mwokoe, twasihi, katika mahali palipo juu!”
-