-
Mathayo 21:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Naye akaona mara hiyo mtini kando ya barabara na kuuendea, lakini hakukuta kitu juu ya huo ila majani tu, naye akauambia: “Acha matunda yasitoke kwako tena kamwe milele.” Na huo mtini ukanyauka mara hiyo.
-