-
Mathayo 21:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa kujibu Yesu akawaambia: “Kwa kweli nawaambia nyinyi, Mkiwa tu na imani na msitie shaka, si kwamba tu mtafanya nililofanya kwa huo mtini, bali pia mkiambia mlima huu, ‘Inuliwa na utupwe ndani ya bahari,’ litatukia.
-