-
Mathayo 23:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 “Ole wenu nyinyi, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa sababu mwafunga ufalme wa mbingu mbele ya watu; kwa maana nyinyi wenyewe hamwingii, wala hamruhusu wale wenye kushika njia ya kuingia waingie.
-