-
Mathayo 23:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 “Ole wenu nyinyi, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa sababu mwafanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, ambayo kwa nje yaonekana kwa kweli kuwa mazuri lakini ndani yamejaa mifupa ya binadamu wafu na kila namna ya ukosefu wa usafi.
-