-
Mathayo 23:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Kwa sababu hiyo, hapa ninatuma kwenu manabii na watu wenye hekima na wafunzi wa watu wote. Baadhi yao mtawaua na kuwatundika mtini, na baadhi yao mtawapiga mijeledi katika masinagogi yenu na kuwanyanyasa kutoka jiji hadi jiji;
-