-
Mathayo 25:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Ndipo atawajibu wao kwa maneno haya, ‘Kwa kweli nawaambia nyinyi, Kwa kadiri ambayo hamkumfanyia hilo mmoja wa hawa wadogo zaidi sana, hamkunifanyia mimi.’
-