-
Mathayo 26:58Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
58 Lakini Petro akafuliza kumfuata akiwa umbali wa kutosha, hadi ua wa kuhani wa cheo cha juu, na, baada ya kuingia ndani, alikuwa ameketi pamoja na mahadimu wa nyumba ili kuona matokeo.
-