-
Mathayo 26:63Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
63 Lakini Yesu akafuliza kukaa kimya. Kwa hiyo kuhani wa cheo cha juu akamwambia: “Kwa Mungu aliye hai nakuweka chini ya kiapo utuambie kama wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu!”
-