-
Marko 4:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Mwishowe, wale waliopandwa juu ya udongo ulio bora ndio wale wasikilizao lile neno na kulipokea kwa mwelekeo mzuri na kuzaa matunda mara thelathini na sitini na mia.”
-