-
Marko 4:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Zaidi akawaambia: “Kazieni uangalifu yale ambayo mnasikia. Kwa kipimo kile mnachopimia, nyinyi mtapimiwa hicho, ndiyo, mtaongezewa zaidi.
-