- 
	                        
            
            Marko 5:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
42 Mara moja yule msichana akasimama akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka 12.) Ndipo wakawa na shangwe kubwa sana.
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Marko 5:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
42 Na mara yule mwanamwali akainuka akaanza kutembea, kwa maana alikuwa mwenye umri wa miaka kumi na miwili. Na mara moja wakapigwa na bumbuazi ya upeo wa shangwe kubwa.
 
 -