-
Marko 5:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Na mara yule mwanamwali akainuka akaanza kutembea, kwa maana alikuwa mwenye umri wa miaka kumi na miwili. Na mara moja wakapigwa na bumbuazi ya upeo wa shangwe kubwa.
-