-
Marko 6:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini siku fulani ifaayo ikafika wakati Herode alipoandaa mlo wa jioni kwenye siku ya kuzaliwa kwake kwa ajili ya wenye daraja la juu na makamanda wake wa kijeshi na walio wa cheo cha kwanza kabisa wa Galilaya.
-