-
Marko 9:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Basi siku sita baadaye Yesu alichukua pamoja naye Petro na Yakobo na Yohana, akawaleta juu katika mlima ulioinuka sana wakiwa peke yao. Naye akageuzwa umbo mbele yao,
-