-
Marko 9:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 “Yeyote yule apokeaye mmoja wa watoto wachanga wa namna hii juu ya msingi wa jina langu, anipokea mimi; na yeyote yule anipokeaye mimi, apokea, si mimi tu, bali pia yeye aliyenituma mimi.”
-