-
Marko 11:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Naye akaingia Yerusalemu, katika hekalu; naye akatazama huku na huku juu ya vitu vyote, na, kwa kuwa saa ilikuwa tayari imesonga, akatoka kwenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.
-