-
Marko 11:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Yesu akawaambia: “Nitawauliza swali moja. Mkinijibu, nitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.
-
-
Marko 11:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Yesu akawaambia: “Hakika nitawauliza nyinyi swali moja. Nyinyi nijibuni mimi, nami pia hakika nitawaambia nyinyi ni kwa mamlaka gani nafanya mambo haya.
-