-
Marko 11:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Yesu akawaambia: “Hakika nitawauliza nyinyi swali moja. Nyinyi nijibuni mimi, nami pia hakika nitawaambia nyinyi ni kwa mamlaka gani nafanya mambo haya.
-