-
Marko 12:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Pia, akaanza kusema nao kwa vielezi: “Mtu alipanda shamba la mizabibu, akaweka ua kulizunguka, akachimba pipa la sindikio la divai na kusimamisha mnara, akalikodisha kwa walimaji, akasafiri nchi ya nje.
-