-
Marko 13:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 “Hata hivyo, mwonapo mara hiyo kile kitu chenye kuchukiza sana ambacho husababisha ukiwa kikiwa kimesimama ambapo hakipaswi (mwacheni msomaji atumie ufahamu), ndipo waacheni wale walio katika Yudea waanze kukimbilia milimani.
-