-
Marko 13:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Mtu aliye juu ya paa la nyumba asishuke wala asiingie kuchukua kitu chochote ndani ya nyumba yake;
-
-
Marko 13:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Mwacheni mtu aliye juu ya paa ya nyumba asiteremke, wala asiingie ndani kuchukua kitu chochote kutoka nyumbani mwake;
-