-
Marko 14:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma, akiwa ameegama kwenye mlo, mwanamke akaja na chupa ya alabasta iliyo na mafuta yenye marashi, nardo halisi, ghali sana. Akivunja ili kufungua hiyo chupa ya alabasta akaanza kuyamwaga juu ya kichwa chake.
-