-
Marko 15:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Kulikuwa pia na wanawake wakiona kwa umbali, miongoni mwao Maria Magdalene na vilevile Maria mama ya Yakobo Mdogo na Yosesi, na Salome,
-