-
Marko 16:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Kwa hiyo walipotoka wakakimbia kutoka kwenye kaburi la ukumbusho, kwa maana kutetemeka na hisia-moyo yenye nguvu zilikuwa zimewashika kabisa. Nao hawakuambia mtu jambo lolote, kwa maana walikuwa katika hofu.
UMALIZIO MREFU
Hati-mkono nyingine za kale (ACD) na tafsiri (VgSyc,p) huongeza umalizio mrefu unaofuata, lakini ambao אBSysArm huondoa:
-