Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kwa hiyo walipotoka wakakimbia kutoka kwenye kaburi, kwa maana walikuwa wakitetemeka nao walikuwa na hisia nyingi. Nao hawakumwambia mtu jambo lolote, kwa maana walikuwa wanaogopa.+

      UMALIZIO MFUPI

      Hati na tafsiri fulani za mwisho-mwisho zina umalizio mfupi baada ya Marko 16:​8, kama ifuatavyo:

      Lakini mambo yote yaliyokuwa yameamriwa wakayasimulia kwa ufupi kwa wale waliomzunguka Petro. Tena, baada ya mambo hayo, Yesu mwenyewe akapeleka kupitia wao tangazo takatifu na lisiloweza kuharibika la wokovu wa milele kutoka mashariki mpaka magharibi.

  • Marko 16:8
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 8 Kwa hiyo walipotoka wakakimbia kutoka kwenye kaburi la ukumbusho, kwa maana kutetemeka na hisia-moyo yenye nguvu zilikuwa zimewashika kabisa. Nao hawakuambia mtu jambo lolote, kwa maana walikuwa katika hofu.

      UMALIZIO MREFU

      Hati-mkono nyingine za kale (ACD) na tafsiri (VgSyc,p) huongeza umalizio mrefu unaofuata, lakini ambao אBSysArm huondoa:

  • Marko
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 16:8

      Mnara wa Mlinzi,

      9/1/2014, uku. 15

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki