-
Luka 2:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa hiyo malaika walipokuwa wameondoka kwao kuingia mbinguni, wachungaji wakaanza kusemezana: “Na twende moja kwa moja hadi Bethlehemu tukaone jambo hili ambalo limetendeka, ambalo Yehova ametujulisha.”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Wachungaji wanaenda kwenye hori (gnj 1 41:41–43:53)
-