-
Luka 2:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Pia, Simeoni akawabariki wao, lakini akamwambia Maria mama yake: “Tazama! Huyu amewekwa kwa ajili ya kuanguka na kuinuka tena kwa wengi katika Israeli na kuwa ishara itakayonenewa vibaya
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Simeoni anapata pendeleo la kumwona Kristo (gnj 1 45:04–48:50)
-