-
Luka 2:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Siku za sherehe zilipokwisha wakaanza kurudi nyumbani, lakini mvulana Yesu akabaki Yerusalemu, hata hivyo, wazazi wake hawakujua.
-
-
Luka 2:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 wakazikamilisha siku. Lakini walipokuwa wakirudi, mvulana Yesu alibaki nyuma Yerusalemu, na wazazi wake hawakutambua hilo.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yesu aenda hekaluni akiwa na umri wa miaka 12 (gnj 1 1:04:00–1:09:40)
-