-
Luka 5:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Lakini kusudi nyinyi mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka juu ya dunia kusamehe dhambi—” akamwambia mtu aliyepooza: “Mimi nakuambia, Inuka uchukue kitanda chako kidogo na shika njia yako uende nyumbani.”
-