-
Luka 5:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Basi baada ya mambo haya alitoka akaenda akamwona mkusanya-kodi aitwaye jina Lawi akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, naye akamwambia: “Uwe mfuasi wangu.”
-