- 
	                        
            
            Luka 5:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
37 Pia, hakuna mtu anayeweka divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Akifanya hivyo, divai mpya itavipasua viriba, nayo itamwagika na viriba vitaharibika.
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Luka 5:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
37 Zaidi ya hayo, hakuna awekaye divai mpya ndani ya viriba vikuukuu vya divai; lakini akifanya hivyo, ndipo divai mpya itapasua viriba vya divai, na itamwagika na viriba vya divai vitaharibika.
 
 -