-
Luka 6:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 “Zaidi ya hayo, komeni kuhukumu, nanyi hamtahukumiwa kwa vyovyote; na komeni kulaumu, nanyi hamtalaumiwa kwa vyovyote. Fulizeni kuachilia, nanyi mtaachiliwa.
-