-
Luka 6:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Zoeeni upaji, na watu watawapa nyinyi. Watamwaga katika mapaja yenu kipimo bora, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa pamoja na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachopimia, watawapimia nyinyi katika kurudishia.”
-