-
Luka 8:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu yake. Basi, alipokuwa akipanda, baadhi ya hizo zikaanguka kando ya barabara zikakanyagwa-kanyagwa, na ndege wa mbinguni wakazila kabisa.
-