-
Luka 8:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa habari ya zile zilizo penye udongo ulio bora, hawa ndio ambao, baada ya kusikia lile neno kwa moyo ulio bora na mwema, hulihifadhi na kuzaa matunda kwa uvumilivu.
-