-
Luka 8:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 “Hakuna yeyote, baada ya kuwasha taa, aifunikaye na chombo au kuiweka chini ya kitanda, bali huiweka juu ya kinara cha taa, ili wale wanaoingia ndani wapate kuiona nuru.
-