-
Luka 8:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Baadaye katika mojawapo ya hizo siku yeye na wanafunzi wake waliingia katika mashua, naye akawaambia: “Na tuvuke hadi upande ule mwingine wa ziwa.” Kwa hiyo wakasafiri kwa mashua.
-