-
Luka 8:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Lakini alipotoka kwenye nchi kavu mwanamume fulani kutoka katika hilo jiji aliyekuwa na roho waovu akakutana naye. Na alikuwa hajavaa mavazi kwa muda mrefu, naye alikuwa akikaa, si nyumbani, bali katikati ya makaburi.
-